#LIVE#ADHIMISHO LA MISA TAKATIFU KUMUOMBEA MAREHEMU JUSTINA A.MINDE PUMZIKO LA AMANI 1966-2023

25 Vues
Published
#LIVE#ADHIMISHO LA MISA TAKATIFU KUMUOMBEA MAREHEMU JUSTINA A.MINDE PUMZIKO LA AMANI (1966-2023) KUTOKA PAROKIA YA KUZALIWA BIKIRA MARIA-SAMBARAI JIMBO KATOLIKI MOSHI

MAREHEMU ALIKUWA SHEMEJI WA BABA ASKOFU LUDOVICK JOSEPH MINDE ALCP/OSS ASKOFU WA KANISA KATOLIKI JIMBO KATOLIKI MOSHI

MISA TAKATIFU INAONGOZWA NA MH. PADRE SALVATORE MACHOWERA PADRE WA JIMBO KATOLIKI MOSHI

"NIMEVIPIGA VITA VILIVYO VIZURI,MWENDO NIMEUMALIZA,IMANI NIMEILINDA 2TIMOTHEO 4:7"
Catégories
vidéos/films
Soyez le premier à commenter cette vidéo.